Nyumba inapangishwa Nkuhungu, Dodoma


APARTMENT NZURI SANA
____________________
MAHALI- NKUHUNGU BODA
____________________
MUUNDO
—MASTER +SEBULE+JIKO
—Public Toilet
—Pazuri sana
—PAKUBWAA
____________________
HUDUMA
—Ipo ndani ya fence
—umeme na maji vipo
— UNAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
—pazur sana kma unavoona
_____________________
BEI— 200,000@month
-MUDA WA MALIPO MIEZ 03+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10k
————————————-
#dalali #dalalidodoma #dodomadalali #Dodoma #Tanzaniahouses #houseforrent #renting #fyp