Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA
NI KIKUBWA, KIKO MAZINGIRA MAZURI, MAJI YAPO HAPO HAPO YANATOKA CHOONI NA UMEME WANASHEA WATATU.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
KODI: 75000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
CONTACT: 0614130017