Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







VYUMBA MASTER VINAPANGISHWA (NI VYUMBA VIPYAAA)
KODI NI 100000 KWA MWEZI, MIEZI KWANZIA MINNE.
NYUMBA NI MPYA, UMEME WAKUJITEGEMEA NA MAJI NI BURE.
LOCATION: PUGU KISUMU, UMBALI WAKUTEMBELEKA TOKA STENDI.
CONTACT:
0760053111
0614130017