Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, NI MPYA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE KABATI. MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA. FENI INAWEKWA SEBULENI NA CHUMBANI, MAJI DAWASA YANATOKA JIKONI NA CHOONI.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO SEKONDARI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.