Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
KUNA CHUMBA NA SEBULE KOTE KUNA FENI, CHOO PUBLIC CHA NNJE, UMEME WAWILI MAJI YAPO YA DAWASA.
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI.
KODI: 80000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111