Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
CHUMBA, SEBULE, CHOO NA JIKO LENYE KABATI.
NYUMBA NDANI NI KUBWA INANAFASI YA KUTOSHA, MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA.
KODI: 150000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111