Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, APARTMENTS ZIKO MBILI.
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO KUBWA. MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU SEKONDARI
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.