Nyumba inapangishwa Sakina, Arusha


Inapangishwa sakina arusha
Ni nyumba classic inajitegemea
Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja master
Ina makabati vyumbani
Ina jiko lenye makabati
Ina sebule kubwa sanaaa
Ina dairining
Ina public toilet
Ina heater ya maji moto
Ina parking
Ina garden
Bei 600,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119