Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ipo kwenye finishing za mwisho inapangishwa ipo sinza near Mlimanicty zipo nyumba 2 kila mpangaji anajitegemea inaroom 3 sebule dinning chumba kimoja nimastar kitchen pablic toilet paking inapangishwa laki 7 kwa mwezi kodi miezi 6
Call
0654 33 00 49
0712 17 55 49 whatsAp