Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali: Sinza
Bei: 1,000,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Zipo Mbili Kwenye Compound
☑️Vyumba Vitatu, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Kubwa
☑️Dining
☑️Jiko Zuri Linafungwa Makabati
☑️Bafu Na Choo Ndani
☑️Fensi Ya Umeme
☑️Parking
☑️Remotely Controlled Gate
☑️Tiles, Gypsum & Sliding Windows
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Balcony View
☑️Cctv Camera
☑️Heater
☑️Full Air Conditioners Zinafungwa
☑️Full Paving Blocks
☑️Full Security
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz