Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Sinza Mori
Bei: 200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Chumba Kimoja Tu Ambacho Ni Master
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Tiles, Gypsum
☑️Sliding Windows
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali