Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Apartment for rent
Loc:sinza
Price:300,000 per month
Terms:six month
Note:
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 👈
Classification:
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko choo cha public ndani ya fensi madirisha ya kioo
Fanya kazi na dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈