Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Kali Inapangishwa
Mahali: Sinza
Bei: 300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi
☑️Chumba Kimoja
☑️Sebule
☑️Jiko Kubwa
☑️Bafu Na Choo Ndani
☑️Fensi
☑️Tiles, Gypsum & Sliding Windows
☑️Luku Inajitegemea
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649