Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Hapa Kuna zaidi ya Sqm 880 Zinapatikana Tabata kinyerezi Kibaga B Kwa BeiRafiki Mnoo Maboss wangu
Bei: 33 Milion #maongezi_yapo
Service Charges:30,000 ( Unalipia Mala Moja Tu.)
📍Location: Tabata Kinyerezi Mwanzo Mgum Dar es salaam Tanzania
📍Ukubwa wa kiwanja Ni Sqm 880
Umbali Ni 1.5 KM kutoka kinyerezi mwanzo mgum
✅️Fully Documented
✅️Kina Hati ya Serikali za Mtaa
Kinyerezi Mwanzo mgum Moja kati ya maeneo ambayo yanakuja kwa kasi sana hapa kinyerezi kwa uwekezaji, unaweza kujenga kwa kuishi au ukaamua kuweka nyumba za kupangisha panalipa sana Mazingira ni rafiki sana Mitaa yake imenyooka sana
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
☎️0785916587 Whatsp/Calls
☎️0627511524 Whatsp/Calls