Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR MPYAAA
INAPANGISHWA 250K
LOCATION: TABATA KISUKURU MIGOMBAN
SIFA ZAKE
########
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE NA JIKO ZURI
ZIPO APARTMENT 2 NA PARKING IPO
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE
UFIKAJI
######
UKITOKEA TABATA KIMANGA UNAFIKA
UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA
UKITOKEA TABATA SEGEREA UNAFIKA
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI