Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


(Apartments 2) Nyumba inapangishwa sh 300000
Kwa mwezi ina vyumba 2 chumba kimojawapo master, sebule, dining, jiko, public toilet, parking, umeme na maji unajitegemea, location tabata kinyerezi mwisho dar es salaam Tanzania
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Gharama ya kupelekwa kuonyeshwa nyumba sh 20000
Au malipo ya mwezi mmoja dalali endapo ulipapo nyumba
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania