Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Zimebakia4 Mbili zipo ground floor na floor ya pili ni Mpya kabisa hazijakaliwa zipo location nzr sn zinatazama lami ,Zenye haice ni Tsh/= laki760 na zingine 560 hizi bei pamoja na service charge .zipo Tabata relini ni hapa mwanzoni kabisa malipo ni miezi. 6 kwenda
Kukagua. Nyumba tunachaji sh
20000 piga sim
0715422099
0784422099
0746218111