Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI MSIKITIN
.
.
SIFA ZAKE
#######
INA VYUMBA VIWILI VIKUNWA VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR
.
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINUM SAFI FULLA/C PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
0653244031 __ 0789666554 __ 0675407514