Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Shell Oil Com.
- Master
- Sebule
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Water reserve tank
- Parking
- Fence
- Dakika 7 kutoka kituoni
Kodi 150,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.