Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NDG MTEJA WANGU PERVING BLOCK ZIMEANZA KUWEKA J PILI MPKA J PILI IJAYO ZITAKUA TIAR
.
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION: TABATA KINYEREZI MWISHO
KM 1.2 KUTOKA HAPA STEND KINYEREZI USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI PKPK NI ELFU MOJA TU MPKA GETIN BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
LINAWEKWA MAKABATI
PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
FEN SAFI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK ZINAWEKWA
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI SILAA NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343