Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR MNOOOOO
INAPANGISHWA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA CHOO NDANI PUBLIC
ZIPO APARTMENT 3 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN CHOON NA JIKON
NDAN YA FENS PARKING IPO MAZINGIRA MAZURI ULINZI WA KUTOSHA ELECTRONIC FENCE SAFI
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 KWA KUTOKEA KOROGWE NA 700 KWA KUTOKEA EXSTENO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670