Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO MOJA NYUMBA MPYA BEI KITONGA KODI 300,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 3 VYOTE MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME INAJITEGEMEA
#FENCE INAJENGWA ISIYOLAZA GARI
NB: NYUMBA IPO HATUA ZA MWISHO INAPIGWA RANGI NJE NDANI NA KUWEKA MADIRISHA ALUMINIUM
NYUMBA ITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 31/11/2024 KUONA KULIPIA RUKXA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347