Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
(300,000X6)UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPOUND MAFUNDI WAPO SAITI KWA KASI YA 5G KUJENGA FENS
NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE JIKO NA CHOO NDAN aina master
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA KOROGWE NA 700 KUTOKA UBUNGO EXSTENO
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0716223412
0683597453