Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


##OFA OFA OFA WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU NIMEISHUSHA KODI KIDOGO KUTOKA 230X6 HADI 200X6
NI NYUMBA NZURI INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
KODI NI 200,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#######
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA CHOO NDANI PUBLIC aina master
INAJITEGEMEA YENYEWE APO ILIPO NA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
UMBALI KM 2 USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKEA KOROGWE NA 700 KUTOKEA UBUNGO EXSTENO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT