Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU INAKUA WAZI TAR 01/05/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
NI APARTMENT NZUR MNOOO
INAPANGISHWA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI KUBWA
TILLES & GYPSUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW CHOONI NA JIKON
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
SERVICHAJ ELFU 15
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030