Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU MOJA YA CHINI NDIO IPO WAZI KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
#SEHEMU YA JIKO
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE KUBWA USALAMA WA KUTOSHA
NB: NYUMBA INAFANYIWA UKARABATI WA RANGI NK NDIO UNAINGIA