Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Maji
🕑Dakika 2 Kutembea Kutoka Morogoro main Road
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule Kubwa sana
🔹Jiko la pembeni hapo
🔹Umeme Luku Yake
🔹Maji Dawasa yanaflow ndani
🔹Inamadirisha ya kioo ya kufunga na kufungua.
👉Reserve Water Tank Kubwa lipo
🔶Kodi Tsh 230 , 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 230, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊