Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA KIZURI SANAA
====================
KIPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE 
===================
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MIWILI TU (2)
=================
BAADA YA IYO MIEZI MIWILI KUISHA NDO UENDELEE NA UTARATIBU WA MWENYENYUMBA
====================
CHUMBA KINA TILLES  GYPSUM  ALUMINIUM  SAFI 
===================
KIPO NDAN  YA FENSI  PARKING  SPACE KUBWA 
==================
LUKU 2 NA NAJI YAPO DAWASA  MASAA  24 YANAFLOW CHOONI 
=================
UMBALI  KM 1,8 KUTOKA  UBUNGO  RIVA  SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 NA UKISHUKA  DK 2 UPO NYUMBAN 
=================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
===================
PIGA CM 0764575774




















