Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO UBUNGO KIBANGU JUU
##################
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI MITATU (3)
###############
SIFA ZAKE
########
CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA NJE LENYE MAKABATI YA KISASA NA CHOO NJE CHA WAWILI TU
#################
ZIPO APARTMENT 4 KWENYE FENS LUKU NI YA KUSHEA 2 TU NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOON NA JIKON AKUNA KWENDA NA NDOO BAFUN APA UNAENDA NA SABUN YAKO TUU
###################
UMBALI KM 1,3 KUTOKA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
###################
NDG MTEJA WANGU JITAID UJE UJIONEE MWENYEWE HII NYUMBA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI SANA KWA WALE WANAPENDA KUISHI SEEM TULIVU MWENYENYUMBA AKAI APO
####################
SERVICHAJ ELIFU 10 NA ITADUMU MPAKA UPATE
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
_____