Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia UBUNGO EXTERNAL Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko lake KUBWA
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000/- Malipo Miezi 6
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA what's up+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni SANA Tz DALALIMICHAELKANYERERE 🇹🇿🙏
maikokanyerere904@gmail.com