Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM INAPANGISHWA UBUNGO EXTERNAL #200k
==
Chumba cha kulala kikubwa
Choo ndani
Umeme inajitegemea
Maji yanaflow chooni
Fence na parking ya uhakika
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbal KM 2 TOKA UBUNGO EXTERNAL BARABARA YA ZEGE dakika 0 ( zero) Kwa mguu ukishuka Bajaji
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================