Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM NA SEBURE INAPANGISHWA
Ipo Ubungo Riverside dk 6 kutoka Road
Ipo ndani ya fensi , parking ipo
Bei laki 1 na 60 tu kwamwezi
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0757 404087