Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA CHOO NDANI PUBLIC
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE KUPITIA UBUNGO KIBANGU
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 5 UPO NYUMBAN
NI MPYA KABISA ZIPO APARTMENT 2 MOJA IMELIPIWA IMEBAKIA MOJA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0655256419