Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE UBUNGO LIVERSIDE DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
---------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 800,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
-------------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693__673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏