Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk4
Full furnished
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule
Public toilet
Ueme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Full security
Parking yakutosha
Kodi 550,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 1,2,3
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820 ☎
0685221354 📞
Wote mnakalibishwa
Mr. Riverside