Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk5
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Usalam wakutosha
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr. Ubungo_tz