Nyumba inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa zipo mbili kwenye fence 
Asking Price 200,000
Terms of payment miezi 6
Ukonga banana majumba sita 
Chumba kimoja master, Seble maji yapo 24hrs 
Cars parking space, fence kitchen luku yako
Gharama ya kuzunguka 20,000 
Call Whatsapp 0765832426




















