Nyumba inapangishwa Ukumbi, Iringa


#APARTMENT INAPANGISHWA
#BONGE LA CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA KAMA UKUMBI
#JIKO LAKE NDANI KUBWA
#TILLES
#GYPSUM
#ALLUMINIUM SLIDE WINDOWS
#LUKU SUBMETER
#MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#FENSI NDIYO INAJENGWA PARKING IPO KUBWA
LOCATION #KIMARA_KOROGWE_KILUNGURE
#USAFIRI WA KUMWAGA UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#HELA YA TAHADHALI LAKI MOJA (100,000 CAUTION MONEY) NA BILA KUSAHAU DALALI AMBWENE UBUNGO NI KODI YA MWEZI MMOJA
#SERVICE_CHARGER_10000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796 whtsp
#0712348316WhatsAp