Nyumba inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


27th November 2024------------------Apartment I mpya Location tegeta wazo
Chumba master
Sebule na jiko
Maji na umeme vinajitegemea
Kodi lk 250,000 kwa mwezi
Fence bado
Haiko mbali na main road
Malipo miezi 6
Malipo ya dalali mwezi mmoja
Piga simu
0758 572 334
0716 407755