Nyumba inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Maelezo
SINGLE BEDROOM FOR RENT:
CHUMBA ni kikubwa sana 13 kwa 13
Fen
Jiko mnashea wawili
Choo pia
Kodi ni sh 120k per month
Malipo ni miezi sita
Location WIZARA YA MALI ASILI/fly over ya chang'ombe VETA haipo mbali na MATAA ya KARIAKOO KAMATA
Kutoka kwenye nyumba mpaka KARIAKOO ni dakika Tano tu kwa mguu
0712265331 call/whatsap
Call me MR JAMBALAGA aka SENIOR



















