Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI BAJAJI 500 BODA BUKU
-----
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 20,000
Kodi 300,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3



















