Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Maelezo
Chumba master kubwa na jiko inapangishwa bei 150000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, no fenced lakini usalama wa kutosha, kutoka kituoni dakika 2 hadi 3 hivi, Location tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 15000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii



















