Nyumba inauzwa Bagamoyo, Mbeya
Nyumba Inauzwa Bagamoyo
Location: Epifani
______
Kiwanja cha kupima
Matumizi makazi
______
Document: Ofa ya wizara ya ardhi
______
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja master, sebule kubwa, dinning room, jiko, stoo, choo cha public
______
Nyumba ipo ndani ya fesi
Umeme, maji yapo
______
Nyumba ipo Karibu na shule ya Epifani
______
Service chaji elfu 20
Bei milioni 70
______
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu utapelekwa site
______
Nipigie simu 0687627903
Whatsapp. 0687627903