Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Repost Dalalimbezibeach_semba
WADAU NALITUPA HILI PAGALA LIPO BUNJU A KM 3 KUTOKA BAGAMOYO ROUND ๐LINATUPWA NIKALI BALAA LINA VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHOO KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 573 KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI NYUMBA IPO MTAA WAKIBABE SANAAAAA BEI LINAUZWA MILION 45 MAONGEZI KIDOGO YAPO WAHI MJENGO HUU UNA RAMANI KALI SANA๐ฅ๐ฅ
CONTACT 0718 759287
WhatsApp 0685 006223
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA