Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYAA INAUZWA
IKO BUNJU B NJIA YA MABWEPANDE
BEI NI MIL 180 tsh
INA HATI MILIKI SAFI KABISA
Ni nyumba ya Tatu kutoka barabara kubwa ya Mabwepande, Inatizama Barabara ya mtaa,
Mtaa wake ni mpana umejengeka kwa mpangilio,
Na nyumba Haina Mgogoro wowote. Nyaraka zote za Umiliki zipo.
KWA MAWASILIANO
Call
☎️ 0759 883 886