Nyumba inauzwa Chanika, Dar Es Salaam


#Nyumba inauzwa chanika karibu na kituo cha polisi
Inaukubwa wa square meter 25 Kwan 20
Umeme na maji vipo
#Vyumba vinne kimoja master, Dining room,kitchen #,living room
Gali inafika na kutoka eneo ni tambalale
#Bei Mil 43 maongezi yapo
#Mawasiliano 0653034268 au 0686584004 whatsap pia
ukitaka kuona vyote pitia ukurasa
https://www.facebook.com/dalalimbarale/