Nyumba inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
Mnada: Nyumba Kubwa ya Familia Inauzwa
Eneo ni Chanika Zavara Buyuni (Kwa Masista), ambapo njia ya kufikika ni rahisi kupitia kituo cha daladala cha Taliani.
Nyumba ipo katika mpangilio mzuri wa viwanja na majirani, kama unavyoona kwenye video fupi.
Eneo hili si la uswahilini.
Bei ya kuuza ni Tzs 27,000,000.
Kwa mawasiliano: +255 788 958 441
---
#chanika #forsale #auction #house