Nyumba inauzwa Ilala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbondole jiji LA ilala mkoa wa dsm nyumba ya pande 2 na Kila pande inajitengemea upande mmoja vyumba 2 vya kulala stingiroom master toilet public nyumba umeme upo maji yapo nyumba mpya nyumba bei ml 47