Nyumba inauzwa Iyumbu, Dodoma

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

NYUMBA NZURI SANA INAUZWA-TAZAMA SEHEMU NDOGO YA MUONEKANO WA NDANI HAPA

(KUONA VIDEO KUANZIA NJE CHECK NEXT POST AU NITEXT WHATSAP)
______
MAHALI-IYUMBU (MORO-DAR ROAD)

-JIRANI NA SHULE YA MFANO
______
UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-100M
______
NYARAKA ZA UMILIKI/DOCUMENT-HATI SAFI
______
UKUBWA WA KIWANJA-1500SQM
______
MUUNDO WA NYUMBA

-Vyumba 05 vya kulala(01 MASTA)
-Study room
-sebule kubwa
-Jiko nzuri lenye makabati(open kitchen)
-Dining nzuri
-Stoo yenye shelves
-Shoe rack
-vyoo 3 vya public na bafu ziko 2

NYUMBA NDOGO YA NJE (BOY'S QUARTER) YENYE

-CHUMBA
-JIKO
-STOO
-PUBLIC TOILET
_______
HUDUMA
-MAJI+UMEME 24/7

-KUNA FENI NA A.Cs

-VYOONI KUNA ELECTRIC HEATERS

-PERGOLA AMBAYO UNAITAJI KUIMALIZIA VIZURI (SEHEMU TA KUPUMZIKIA INAYOJENGWA KWA MBAO/CHUMA)

-ELECTRICAL FENCE

-MAIN GATE IMEFUNGWA MOTOR HIVYO UNAFUNGA NA KUFUNGUA GETI KWA KUTUMIA REMOTE

-SURVEILLANCE CAMERAS

(CORRIDOR,SEBLENI,DINNING NA NJE YA NYUMBA)

-SOLAR SYSTEM KWAAJILI YA BACK UP INCASE UMEME WA TANESCO UKIKATIKA

-WATER RESERVE TANKS 10000LT ZA MAJI YA DUWASA/BOMBA

-KISIMA KIMECHIMBWA NA PIA KUNA UNDERGROUND TANK KWAAJILI YA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA+MVUA NALO NI 10000LT

-KUNA ALARM SENSOR KWAAJILI YA SECURITY UMBALI MCHACHE TOKA KWENYE NYUMBA
______
BEI-350M (MAONGEZI YAPO)
______
MAWASILIANO

0675228261 (CALL)

0672370722 (CALL+WHATSAP)

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 40,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIKO 100M UMBALI WA LAMI_________________________MAHALI-IYUMBU EXTENSION JIR...

Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma
  • Project

Sh. 5,000,000

viwanja viwili vinauzwa iyumbu Dodoma viwanja vipo viwili chagua kimoja au vyote viwanja vipo kwenye...

Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 95,000,000

KIWANJA KINAUZWA IYUMBU WEST JIJINI DODOMAMahali; Iyumbu WestEneo ukubwa; 3,200 sq.mSifa; Kina HATI ...

Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 20,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIKO 200M TOKA BARABARA YA LAMI_____________________MAHALI-IYUMBU (NYUMA YA ...

Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 20,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIKO 200M TOKA BARABARA YA LAMI_____________________MAHALI-IYUMBU (NYUMA YA ...

Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 20,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIKO 200M TOKA BARABARA YA LAMI_____________________MAHALI-IYUMBU (NYUMA YA ...

Nyumba inauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 350,000,000

NYUMBA NZURI SANA INAUZWA-TAZAMA SEHEMU NDOGO YA MUONEKANO WA NDANI HAPA(KUONA VIDEO KUANZIA NJE CHE...

Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Sh. 20,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIKO 200M TOKA BARABARA YA LAMI_____________________MAHALI-IYUMBU (NYUMA YA ...