Nyumba inauzwa Kibaha, Pwani
👉Nyumba inauzwa ina hati miliki
👉Nyumba ipo Kibaha Msufini
👉Vyumba vitatu(kimoja masta)
👉Umeme na maji tayari
👉Inaitaji finishing
👉Eneo ni sqm 534
👉Toka stendi unatembea au 1000 kwa boda
👉Ina barabara 2 za mtaa(unaweza jenga frem mbele)
👉Bei million 38